|
Article on other languages:
|
Kijapani (日本語 "nihon-go" au "nippon-go" ) ni lugha rasmi nchini Japani. Kinatumiwa na Wajapani karibu wote isipokuwa kundi dogo la Waainu wana lugha yao.
Idadi ya WasemajiKwa jumla kuna wasemaji milioni 124 karibu wote nchini Japan. Kutokana na uhamiaji kuna takriban wasemaji 420,000 katika Marekani (zaidi ya nusu wako Hawaii) na 380,000 huko Brazil. UainishajiWataalamu hawakubaliani kuhusu historia ya lugha. Lugha ya karibu ya pekee ni lugha za visiwa vya Ryukyu. Kijapani inafanana kiasi na Kikorea na kwa kawaida nyingi kimepangwa katika jamii ya lugha za Kialtai. Lakini kuna tabia kadhaa katika Japani ya kale zisizilingana na Kialtai hivyo majadiliano ya kitaalamu yaendelea. Lugha imepokea maneno mengi kutoka Kichina. MwandikoKuna namna tatu ya kuandika:
a) kama Kiswahili ya kisasa kuanzia upande wa kushoto kwenda kulia b) Kuanzia juu kwenda chini kwa kutumia nhuzo. MifanoInayofuata ni mifano ya maneno ya Kijapani:
Viungo vya Nje |
This article is from Wikipedia. All text is available under the terms of the GNU Free Documentation License.
Mercedes Car
This site monitored by SitePinger.net