|
Article on other languages:
|
Reli ya manisipaa aina ya Cable Car
San Francisco iko kwenye rasi kati ya Pasifiki na hori la San Francisco. Mlango wa bahari wa kuingia katika hori huitwa "Golden Gate". Mji ulianzishwa na Wahispania mnamo 1776 kama sehemu ya koloni yao ya Meksiko. Jina limechaguliwa kwa heshima ya Mt. Fransisko wa Assisi. Baada ya vita ya Marekani dhidi Meksiko ya 1846 mji ulikuwa sehemu ya Marekani. Uchimbaji wa dhahabu ulisababisha ukuzi wa haraka. 1906 San Francisco iliharibiwa na tetemeko la ardhi ikajengwa upya. Mji hutembelewa na watalii wengi wanopenda kuangalia daraja la Golden Gate, kisiwa cha Alcatraz na gereza lake halafu kuzunguka mjini kwa reli za nyaya. Mji wajulikana pia kwa jumuiya kubwa za washoga na wabasha. Tovuti za NjeAdvanced questions for article: san francisco, flower in san francisco, Questions for article: cemitrios san francisco ca, working class craigslist san francisco, jordbvning sanfrancisko, kabeltog i san francisco, kabeltog san francisco, kalifornian lipun historia, mapa san_francisco_(california), mikor indult kbelvast san franciscoban, pelotas, brazilia, san francisco kbelvast, san francisco 1906 |
This article is from Wikipedia. All text is available under the terms of the GNU Free Documentation License.
Mercedes Car
This site monitored by SitePinger.net